Chama cha Wazalendo (ACT-Wazalendo) tarehe 30 Machi 2017 kitawasilisha fomu za Uteuzi wa Mgombea wa Ubunge wa Afrika Mashariki (EALA) katika Ofisi za Bunge Dodoma. Machi 22, 2017 Kamati Kuu ya ACT Wazalendo ilimpitisha Profesa Kitila Mkumbo kuwa Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Afrika Mashariki kupitia ACT Wazalendo.

Mahali: Ofisi ya Katibu wa Bunge
Mkoa: Dodoma
Siku: Machi 30, 2017
Muda: Saa 4 asubuhi  
 

Event Date: 
March 30, 2017
Venue: 
Ofisi ya Katibu wa Bunge