Dira yetu ACT Wazalendo ni Tanzania kuwa Taifa lenye kujitegemea kiuchumi na kiutamaduni, na ambalo linalinda na kudumisha usawa, utu, ustawi wa jamii, uwajibikaji, demokrasia, na uongozi bora.