Chama cha Wazalendo (ACT-Wazalendo) tarehe 4 Aprili 2017 kitashiriki Uchaguzi wa Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) katika kikao cha Bunge kinachofanyika siku hiyo mjini Dodoma. Machi 22, 2017 Kamati Kuu ya ACT Wazalendo ilimpitisha Profesa Kitila Mkumbo kuwa Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Afrika Mashariki kupitia ACT Wazalendo.

Mahali: Ukumbi wa Bunge
Mkoa: Dodoma
Siku: Aprili 4, 2017
Muda: Kuanzia saa 3 asubuhi  
 

Event Date: 
April 04, 2017
Venue: 
Ukumbi wa Bunge