Karibu katika mwongozo wa sera mbalimbali za ACT Wazalendo, ambapo utaweza kupata majawabu juu ya masuala mbalimbali ya kisera yanayoulizwa mara nyingi. Unaweza kuchagua eneo maalum la sera, unaweza kutafuta maeneo mbalimbali ya kisera, unaweza pia kuchagua sera mashuhuri za ACT Wazalendo. Mwongozo wa Kisera utakuwa unaboreshwa mara kwa mara kulingana na Mahitaji ya wakati