Kuwa sehemu ya mabadiliko unayotaka kuyaona

Jiunge na vuguvugu letu ili kuleta mabadiliko unayoyataka Tanzania: mabadiliko yanayotengeneza ajira, kuleta heshima na furaha kwa watu wake.

Tunachokisimamia

Dhima yetu ni kuleta mabadiliko yatakayoiendeleza Tanzania kwa kutengeneza maisha ya furaha na heshima kwa Watanzania wote. Mabadiliko haya yatafanikishwa kwa kuwa na:

  1. Uchumi unaokuwa na jumuishi ambao unatengeneza ajira.
  2. Huduma bora za kijamii na zinazopatikana kwa watu wote.
  3. Polisi yenye kuwalinda na kuwatumikia watu yenye kujali taaluma na ukweli.
  4. Muungano wa watu (siyo wa Serikali), ambao ni wa haki na uliojengeka katika misingi ya kuheshimu haki za binadamu.

Changamka

Anayejitolea

Jitolee leo kueneza ujumbe wetu wa matumaini na mabadiliko

Jiunge

Kuwa mwanachama

Kuwa sehemu ya vuguvugu

Jiunge

Matukio

      Ukurusa huu unatumia kuki. Kusoma zaidi, angalia Vigezo na Masharti yetuOK

      Rally! Theme © 2020 Tectonica - Terms and Conditions Imetengenezwa na NationBuilder - Built by Tectonica

      Jiunge